Youth Opportunities For Vocational Training Tanzania 2022

Youth Opportunities For Vocational Training Tanzania 2022 The Vocational Education and Training Authority (VETA) is an autonomous Government Agency established through the Act of Parliament No. 1 of 1994 Chapter 82 [Revised in 2006]. The overall objective of establishment of VETA is to oversee the Vocational Education and Training (VET) system in Tanzania. It is charged with the responsibilities of promoting, coordinating, providing, regulating and financing VET in the Country.

Vision

The vision of VETA is, “Tanzania with sufficient and competent artisans.”

Mission

The mission of VETA is, “To ensure quality vocational skills by providing, regulating, coordinating, promoting, and financing vocational education and training for national socio- economic development.”

Core Values

i. Demand driven services;

ii. Service Excellence;

iii. Transparency; and

iv. Team work.

Youth Opportunities For Vocational Training Tanzania 2022

DOWNLOAD PDF FILE HERE

Roles Of VETA

i. Providing vocational education and training;

VETA provides training through 33 vocational training centres and institutes that it owns. Also, it provides training to vocational teachers through its Vocational teachers Training College in Morogoro.

ii. Coordinating vocational education and training;

VETA coordinates more than 700 VET institutions owned by other VET providers in the country, providing training in form of long courses, short courses and tailor-made courses. Also, VETA conducts Labour Market Surveys to determine skills demanded by labour market.

As well, the Authority establishes and maintains close linkage and partnership with other training providers at national and zonal levels.

iii. Regulating vocational education and training;

VETA regulates provision of vocational education and training in the Country through Registration of VET Institutions; Accreditation; Setting Standards; Curriculum Development; Auditing for Compliance; Assessment; and Certification.

iv. Financing and managing VET fund;

VETA finances and manages VET Fund for Vocational Education and Training. The main source of VET Fund is employers contribution of Skills Development Levy (SDL). Employers with four and above employees contribute 6% of their employees salaries as SDL.

Some other sources of VET fund are Government development projects; development partners contributions; funds from internal sources like income generating activities and training fees.

v. Promoting Vocational Educational and Training

VETA is charged with the role of promoting vocational education and training in the Country. VETA believes that the public can support VET if it is provided with adequate information about VET goals and activities. Promotion is carried by communicating VET to different stakeholders including the Government, parents, employers, employees, and donors. Other targets include current and prospective trainees, instructors; VET graduates legislators, trade unions, NGOs and the media.

VETA uses different media in communicating VET to stakeholders: through advertisement, VET week activities, public presentations, trade fairs and exhibitions and publicity. Others include newsletters, annual reports, brochures, VET catalogues, website and other promotional materials.

70 Replies to “Youth Opportunities For Vocational Training Tanzania 2022”

  1. Jina langu ni CLEMENCE MBAZI MWANGA.Nina umri WA miaka 15, nimehitimu darasa la saba mwaka 2019.

    Ninaomba nafasi ya kujiunga na mafunzo ya VETA kulingana na Elimu yangu.

    Kipaumbele changu ni ufundi wa
    Kuchomelea
    Umeme WA magari
    Paints
    Ahsanteni

  2. My name is Stephano .B. Zebedayo and I am a Form Four graduate.I have seen a scholarship to study the various professions identified in the ad, so I am interested in the course of TEHAMA and TOURISM.

  3. Nipo pwani kibaha umri wangu n miaka 34 naomba kuwepo kwenye mafunzo hayo.

  4. Jina langu ni Mary isdory haule .ninaumri wa miaka 19, nimehitimu kidato Cha nne mwaka 2021.
    Ninaomba nafasi ya kujiunga na VETA kulingana na elimu yangu
    Kipaumbele changu ni ufundi
    Umeme
    Utalii
    Tehama

  5. Jina langu ni Mary isdory haule ninamiaka 19 ninaelimu ya kidato Cha nne nilicho maliza mwaka 2021 , ninaomba nafasi katika elimu ya VETA katika mafunzo ya
    Umeme
    Utalii
    Tehama

  6. Naomba kuuliza wengne tulijiandikisha mwaka jana ila hatukupata kuitwa moja wapo nikiwa mimi je hawawezi kutumua form zetu za mwaka jana kutuita upya kwa wale ambao tayari majina yetu yako VETA?

    Naitwa Ayubu Jamaly Frank
    Niko mwanza na niliomba kujifunza ufundi wa umeme sababu ni kitu ninacho kipenda na kwa kiasi fulan najua kufanya iyo kaz so nahitaji elimu zaid na niweze kupata cheti cha ufundi

  7. Mungu azidi kuibariki Tanzania na viongozi wake, kama wimbo wa taifa unavyo imbwa, kwa fursa hii kwetu vijana.

  8. Nahitaji kupata mafunzo ya madini nipo mbeya mjini . Nina Elimu ya kidato Cha nne . Naomba msaada wenu

  9. Naitwa fadhila haji, nina umri wa 18, nimemazila kidato Cha nne20021, naomba kujiunga na masomo ya tehama na utali, nip kipaumbele changu,nipo mtwara mjini says:

    Naitwa fadhila, kutoka mtwara mjini,
    nina miaka 18 naombaa kujiunga a masomo, kipaumbele changu tehama na utali,

  10. Naitwa fadhila haji, nina umri wa 18, nimemazila kidato Cha nne20021, naomba kujiunga na masomo ya tehama na utali, nip kipaumbele changu,nipo mtwara mjini says:

    Naitwa fadhila, kutoka mtwara mjini,
    nina miaka 18 naombaa kujiunga a masomo, kipaumbele changu tehama na utali,

  11. Kwa majina naitwa Wivina gration laulent nimependa hii fursa napenda kujifunza utalii na ushonaji nipo Mwanza chuo Cha mipango mwanza kanda ya ziwa ( institute of rural development planning IRDP-LZC)

  12. Mimi Nina miaka 31 ,Tayari Nina shahada ya Elimu chuo kikuu Cha Elimu Mkwawa,nitahitaji mafunzo ya TEHAMA

  13. Me Agnes Michael nipo kibaha fomu tunazipataje na je vyuo vipo kwa wapi hapa pwan nimefuraishwa na tangazo Hilo naimani serikali yetu inaweza nataman I nipate utalii na tehama

  14. Nzuri sana hiyo naitaji kujiunga na tehama ,ushonaji nguo nipo dar es salaam kinondoni nina elimu ya kidato cja nne

  15. Naitwa Kulwa Hamis Shabani nimemaliza kidato cha nne naishi Morogoro ( Ngerengere) napenda kujiunga na Tehama, ufundi magari. Nitafurahi kama nitapata nafasi hii natanguliza shukrani.

  16. Naitwa asnath juvenary sengo nimesoma had kidato cha tatu naomba kujiunga na hotel nina miaka 19

  17. kwa majina naitwa Kelvin chacha Charles mwenye umri wa miaka 22 napenda nana elimu ya kidato Cha nne nilkupenda kua mmoja ya watu ambao watashiriki katita mafunzo mbalimbali nilipenda niombe kujiunga na mafunzo ya ufundi umeme wa majumbani. Natumain ombi langu litakubaliwa

  18. kwa majina naitwa Kelvin chacha Charles mwenye umri wa miaka 22 napenda na mimi kujiunga katika mafunzo hayo nina elimu ya kidato Cha nne nilpenda kua mmoja ya watu ambao watashiriki katita mafunzo mbalimbali nilipenda niombe kujiunga na mafunzo ya ufundi umeme wa majumbani Natumain ombi langu litakubaliwa mwenyezi mungu awatangulie viongozi wote

  19. Jinalangu naitwa lameck yahaya ufundi wa umeme Niko dar essallam asantni sn

  20. Ninaitwa Flora Erasmus naomba kujiunga na ushonaji nguo na mapishi kama yatakuwepo. Asanteni

  21. Sjajua ni vituo vp
    Me naitwa Benson Madaraka nina ujuzi wa
    kutumia computer naomba kujiunga na TEHAMA

  22. Jina langu ni musa fadhili sudi nimehitimu katika chuo cha uasibu arusha kwa ngazi ya cheti naomba kujiunga kwa secta ya madini nipo wilaya ya nyasa mkoa wa ruvuma

  23. Kwa majina Naitwa Elick Exavery nina umri wa miaka 24 elimu yangu ni kidato cha nne naomba kujiunga na mafunzo hayo napenda kujifunza umeme mdogo na ufundi ujenzi . nitashukuru endapo nitakua miongoni mwa watakao shiriki kozi hizo ahsante.

  24. Hii nafasi ni ya muhimu sana kwa vijana wetu, naomba muda wa kutuma maombi uongezwe!

  25. Kwa majina naitwa Helger Gerald Mpagama. Nina miaka 21, mimi nahitaji kujiunga na fani ya utalii.

  26. Nijambo nzuri Sana, mm naitwa Roseanna nipo mkoa wa Kilimanjaro, umri miaka ishirini na nne(24), elimu kidato Cha nne, ningependa kujiunga na mafunzo ya utalii au tehama. Asanteni

Comments are closed.