Breaking News

Recent Posts

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI

nafasi za kazi pangani

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Halmashauri ya Wilaya ya Pangani imepokea kibali cha Ajira mpya kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma chenye Kumb. Na.  cha Tarehe 11 Septemba, 2023. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani anawatangazia wananchi wote wenye şifa za kuomba nafasi ya kazi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II kama inavyooneka kwenye Tangazo …

Read More »

MINISTRY OF INDUSTRY AND TRADE COLLEGE OF BUSINESS EDUCATION (CBE)

CBE

EMPLOYMENT OPPORTUNITY Applications are invited from suitable, qualified and experienced Tanzanians to fill the following vacant positions at the College of Business Education. The College of Business Education was established by the College of Business Education CAP 315 R.E. 2002 (CBE Act). It is a Public Higher Learning Institution which provides Teaching, Research and Consultancy Services in the fields of …

Read More »

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Ngao ya taifa, Nafasi za kazi

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara Zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi mia nne sabini (470) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. 17.0 KATIBU WA KAMATI DARAJA LA II (COMMITEE …

Read More »